24 Juni 2025 - 14:38
Hasira ya Lieberman kwa kushindwa kwa Israel kufikia malengo yake maovu

Hili la kusitisha mapigano ni la aibu, si mpango wa makombora wa Iran umeharibiwa wala mpango wao wa nyuklia, huu ni usitishaji mapigano usio na masharti, Iran itarutubisha Uranium (ya Nyuklia) tena.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - Lieberman: Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Israel ya kusitisha mapigano ambayo Israel inalazimika kuyafanya ikiwa imeshindwa kuweka masharti. Usitishaji huu wa kufedhehesha utaturudisha tena vitani ndani ya miaka 3.  Tulikuwa katika kushuhudia jinai za Iran kwa muda wa siku 12!

Hili la kusitisha mapigano ni la aibu, si mpango wa makombora wa Iran umeharibiwa wala mpango wao wa nyuklia, huu ni usitishaji mapigano usio na masharti, Iran itarutubisha Uranium (ya Nyuklia) tena.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha